iqna

IQNA

IQNA – Tafsiri ya Qur’ani Tukufu  iliyoandikwa na Muhammad al-Asi ni ya aina yake kwani ni ya kwanza iliyooandikwa moja kwa moja kwa lugha ya Kiingereza. 
Habari ID: 3480809    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/08

IQNA: Qur’ani Tukufu ina maarifa ya kimataifa yanayopaswa kufafanuliwa, na ujumbe wake unapaswa kuwasilishwa kwa ulimwengu mzima, amesema Hujjatul Islam Mohsen Qara’ati, mwanazuoni wa Kiislamu na mtafsiri wa Qur’ani kutoka Iran.
Habari ID: 3480759    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/30

IQNA – Hafla maalum imefanyika katika Haram Takatifu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, kumuenzi Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, mwanazuoni mwandamizi wa Kishia kutoka Iran, kwa mchango wake mkubwa na wa maisha yote katika kuandika tafsiri ya Qur’ani Tukufu na kufunza falsafa ya Kiislamu.
Habari ID: 3480686    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14

IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani, kiongozi mashuhuri wa kidini wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, amesifu tafsiri ya Qur'ani ya Tasnim iliyoandikwa na msomi wa Kiirani, Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, akiitaja kuwa “chanzo cha fahari kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia.”
Habari ID: 3480681    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

IQNA – Mwanazuoni Mwandamizi wa Kiislamu kutoka Iran Ayatullah Abdollah Javadi Amoli amesema Qur'ani na Ahl al-Bayt bado ni nguzo kuu za umoja kati ya Waislamu.
Habari ID: 3480662    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemsifu Ayatullah Abdollah Javadi Amoli kwa mchango wake wa miongo kadhaa katika tafsiri ya Qur’ani, akielezea Tafsiri yake ya Tasnim kama mafanikio makubwa ya kielimu kwa vyuo vikuu vya Kiislamu au Huzah.
Habari ID: 3480262    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/24

IQNA – Aplikesheni mpya ya simu nchini India inatoa tafsiri ya Qur'ani kwa lugha ya Kihindi.
Habari ID: 3479973    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29

Tafsiri ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imepangwa katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran mapema mwaka ujao ili kusherehekea kukamilika kwa Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya Ayatullah Abdullah Javadi Amoli.
Habari ID: 3479903    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15

Tafsiri ya Qur'ani
IQNA – Sheikh Tantawi Jawhari alikuwa mwanazuoni mashuhuri wa Misri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu ambaye kazi yake kuu ilikuwa Al-Jawahir fi Tafsir al-Quran al-Karim.
Habari ID: 3478757    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02

Al Azhar
IQNA - Msomi na afisa wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesisitiza ulazima
Habari ID: 3478228    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21

Elimu
IQNA - Kituo cha Mafunzo ya Kiislamu chenye mafungamano na Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimechapisha mfululizo wa vitabu vipya vya mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478190    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/13

Tafsiri ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Kongamano la kimataifa kuhusu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei mawazo ya Qur'ani yamefunguliwa huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478138    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/03

Tafsiri ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Ingawa kumekuwepo na juhudi nyingi za wanazuoni wa Kiislamu katika uwanja wa tafsiri ya Qur'ani Tukufu tangu kuja kwa Uislamu, kuna ukosefu wa kazi katika tafsiri ya kisaikolojia ya Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3478088    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /35
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ilyas Wang Jingzhai (180-1949) ndiye mtu wa kwanza aliyetafsiri Qur'ani Tukufu nzima katika lugha ya Kichina.
Habari ID: 3477951    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Hojat-Al-Islam Morteza Torabi ni mfasiri wa Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kituruki na amejaribu kutumia wafafanuzi wa Kishia wa Quran Tukufu katika kazi yake.
Habari ID: 3477194    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/26

Tafsiri ya Qur’ani na Wafasiri /6
TEHRAN (IQNA) – Sayyid Mostafa Khomeini alikuwa gwiji ambaye alianza kuandika tafsiri ya Qur’ani Tukufu iitwayo “Miftah Ahsan Al-Khazaein al-Ilahiya” lakini aliaga dunia kabla ya kuikamilisha.
Habari ID: 3476086    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani/2
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Ibrahim Arjun (1903- 1981) alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar ambaye kazi zake zilizoandikwa na kurekodiwa kuhusu tafsiri ya Quran ni vyanzo vyema vya utafiti katika nyanja Tafsiri ya Qur’ani Tukufu na sayansi za Kiislamu.
Habari ID: 3475930    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

Tafsiri ya Qur'ani 7
TEHRAN (IQNA) – Kuna tafsiri ya Qur'ani Tukufu inayonasibishwa kwa Imam Hassan Askari (AS) ambayo imetufikia lakini baadhi ya wanachuoni wanatilia shaka unasibishaji huo.
Habari ID: 3475920    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Muhtasairi kuhusu Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu/2
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri kuu ya Qur’ani miongoni mwa kizazi cha tatu cha Waislamu ni ile ya Muqatil ibn Sulayman, mwanazuoni mkubwa na mfasiri wa Qur’ani aliyeishi katika eneo la Khorasan Kubwa.
Habari ID: 3475851    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

TEHRAN (IQNA)- Naila Sabri ni mwanamke Mpalestina ambaye ameandika Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ijulikanayo kama Tafsir al-Mubsir li-Nur al-Quran na hatua yake hiyo imepongezwa kuwa ni mafanikio makubwa kwa Wapalestina.
Habari ID: 3474849    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25